Saturday, May 25, 2019

MAJINA YA KICHAGA 150 NA MAANA ZAKE

Majina ya wanawake.

  1. Ikunda = upendo
  2. Anansia = anafuraha
  3. Aikande = asante baba
  4. Anaufoo = ana upole
  5. Aika = asante
  6. Nsia = furaha
  7. Ana = shukuru
  8. Ruyaeli = tafuta hii
  9. Mesia = masihi
  10. Eliasante = asante hii
  11. Ndensia = baba furaha
  12. Aluseta = ametufurahisha
  13. Elieshi = anajua hii
  14. Elisaria = hii ni neema
  15. Eliayo = kwa kuwa yupo
  16. Aimbora = hii baraka
  17. Eliukundi = huu ni upendo
  18. Nkiraningaya = mwokozi sikia
  19. Apaufoo = upole uliopitiliza
  20. Eliuruma/ Elisaria = hii ni huruma/ neema
  21. Eshimendi = anajua mda
  22. Nkakyenyi = mwamke wa nyumbani
  23. Nkamai  = wajina wa bibi
  24. Shiwikyansia = niwekee furaha
25.Elikunda = huu upendo
MAJINA  YA WANAUME
  1. Saria = neema/same he
  2. Eshiwakwe = anajua wake
  3. Kubwaeli = kumbuka hii
  4. Kundasenyi = penda kwenye nuru
  5. Wangaeli = ita
  6. Elimuhidimi =  kwakuwa anatosha
  7. Wangandumi = muite bwana
  8. Werandumi = msubiri bwana
  9. Irrikyaeli = kubali hili/ hii
  10. Isawafoo = chunga wako
  11. Shisalalya = nisimamie
  12. Elingao = hii ni ngao
  13. Kusirie = amini
  14. Onasaa = ona nuru
  15. Aleonasaa = amepata nuru
  16. Shekyandumi = nisaidie bwana
  17. Shekyaeli = nisaidie hii/hiki
  18. Eliapenda = penda hii
  19. Elineema = neema hii
  20. Ndemfoo = bwana ni mpole
  21. Lookenyi  = paza sauti
  22. Keshenyi = lalashowi
  23. Lalashowi = keshenyi 
  24. Elyiakwani = kwa kuwa wanahusiana
  25. Ndelutarami = bwana tusaidie
  26. Anandumi = shukuru bwana
  27. Anaeli = shukuru hii
  28. Shifoya  = nisamehe
  29. Ndenisari = baba ni mwenye nisamehe
  30. Oshoraeli  = omba hii
  31. Ringaufoo = chunga upole
  32. Wariaeli = pokea hii
  33. Terewaeli = omba hii
  34. Aranyandumi = msikilize bwana
  35. Shilelandumi = bwana nilee
  36. Endwasen = aletwe nuruni
  37. Furahanaeli = furahia hii
  38. Akiraeli = okoa hii
  39. Furandumi = furahua bwana 
  40. Shisaria = nisamehe
  41. Shimarisaeli = nimemaliza hili
  42. Winyaeli = sumbukia hili
  43. Alesanjo  = ameoshwa
  44. Ekyandumi = msaidie bwana
  45. Elishifwaya = nisamehe hii.
  46. Arakyasaa = ngoja ahadi
  47. Akaufoo= huu ndio upole
  48. Shisandumi = bwana nichunge
  49. Furanaeli = furahia
50.Mbora = baraka
Asante tutaendelea kukusogezea MAJINA mengine kwa mawasiliano zaidi 
0621058168
SirGeorge Boaz Facebook 
KiseluTv YouTube
georgeboazndeyanka09@gmail.com