Saturday, May 25, 2019

MAJINA YA KICHAGA 150 NA MAANA ZAKE

Majina ya wanawake.

  1. Ikunda = upendo
  2. Anansia = anafuraha
  3. Aikande = asante baba
  4. Anaufoo = ana upole
  5. Aika = asante
  6. Nsia = furaha
  7. Ana = shukuru
  8. Ruyaeli = tafuta hii
  9. Mesia = masihi
  10. Eliasante = asante hii
  11. Ndensia = baba furaha
  12. Aluseta = ametufurahisha
  13. Elieshi = anajua hii
  14. Elisaria = hii ni neema
  15. Eliayo = kwa kuwa yupo
  16. Aimbora = hii baraka
  17. Eliukundi = huu ni upendo
  18. Nkiraningaya = mwokozi sikia
  19. Apaufoo = upole uliopitiliza
  20. Eliuruma/ Elisaria = hii ni huruma/ neema
  21. Eshimendi = anajua mda
  22. Nkakyenyi = mwamke wa nyumbani
  23. Nkamai  = wajina wa bibi
  24. Shiwikyansia = niwekee furaha
25.Elikunda = huu upendo
MAJINA  YA WANAUME
  1. Saria = neema/same he
  2. Eshiwakwe = anajua wake
  3. Kubwaeli = kumbuka hii
  4. Kundasenyi = penda kwenye nuru
  5. Wangaeli = ita
  6. Elimuhidimi =  kwakuwa anatosha
  7. Wangandumi = muite bwana
  8. Werandumi = msubiri bwana
  9. Irrikyaeli = kubali hili/ hii
  10. Isawafoo = chunga wako
  11. Shisalalya = nisimamie
  12. Elingao = hii ni ngao
  13. Kusirie = amini
  14. Onasaa = ona nuru
  15. Aleonasaa = amepata nuru
  16. Shekyandumi = nisaidie bwana
  17. Shekyaeli = nisaidie hii/hiki
  18. Eliapenda = penda hii
  19. Elineema = neema hii
  20. Ndemfoo = bwana ni mpole
  21. Lookenyi  = paza sauti
  22. Keshenyi = lalashowi
  23. Lalashowi = keshenyi 
  24. Elyiakwani = kwa kuwa wanahusiana
  25. Ndelutarami = bwana tusaidie
  26. Anandumi = shukuru bwana
  27. Anaeli = shukuru hii
  28. Shifoya  = nisamehe
  29. Ndenisari = baba ni mwenye nisamehe
  30. Oshoraeli  = omba hii
  31. Ringaufoo = chunga upole
  32. Wariaeli = pokea hii
  33. Terewaeli = omba hii
  34. Aranyandumi = msikilize bwana
  35. Shilelandumi = bwana nilee
  36. Endwasen = aletwe nuruni
  37. Furahanaeli = furahia hii
  38. Akiraeli = okoa hii
  39. Furandumi = furahua bwana 
  40. Shisaria = nisamehe
  41. Shimarisaeli = nimemaliza hili
  42. Winyaeli = sumbukia hili
  43. Alesanjo  = ameoshwa
  44. Ekyandumi = msaidie bwana
  45. Elishifwaya = nisamehe hii.
  46. Arakyasaa = ngoja ahadi
  47. Akaufoo= huu ndio upole
  48. Shisandumi = bwana nichunge
  49. Furanaeli = furahia
50.Mbora = baraka
Asante tutaendelea kukusogezea MAJINA mengine kwa mawasiliano zaidi 
0621058168
SirGeorge Boaz Facebook 
KiseluTv YouTube
georgeboazndeyanka09@gmail.com


9 comments:

  1. asante sana mdau wangu wa tovuti hii. sipendi kuwa tofauti nawe ila ni kusaidiana ili tufikie mwisho mwema. ni kweli neno el.. ni la kiebrania na jina kama elshedai elsherafa nk lakini ni kwawaida neno kushabiaba na lugha nyingine mfano hilo el.. jambo la kujua ni kuwa wamachame hawakuwah kuchangaman na waebrania. pia dini ililetwa na ilikuta majina haya yakitumika. jaribu

    ReplyDelete
  2. Nashukuru sana kwa kuwa mdau wangu wa tovuti hii ya kichaga.

    ReplyDelete

061058168