Saturday, July 6, 2019

KOO MAARUFU ZA WACHAGA

KOO MAARUFU ZA WACHAGA


Majina ya ukoo ni  moja kati ya utambulisho wa sehemu wanapotoka katika mikoa mingine au kabila.
KOO MAARUFU kulingana na familia zao apo mwanzo Ni Swai,mushi,mmasy,Kimaro,massawe,lema,urassa,nkya,ndossi,meena..hawa hutoka machame.
Akina Temu,mlaki,mlay,lyimo,kileo,kimambo,tesha,macha,ndanu,njau,kombe,mbisi,kyara,assey kessy,msele,kamindo,moshiro wanatoka oldmoshi  majina wengine ya oldmoshi Ni kama mmari,macha,mshiu,kyara,mboro,mmasamu,malisa,massame,Ringo,ngowi,lyatuu,mshiu,olomi.  


Kavishe,mariki,tarimo,laswai,mallya,Neema,mkenda,massawe,makyao,silayo,lyatuu,mowo,tairo,male to,mramba,kauki.wanatokea Rombo

Sawe,usiri,shayo,kiwelu,makundi,urasa,mtei,mtui,meela,minja, wanatokea marangu kilema. 


Rite,makule,minja,mashayo,chao,shao,makawia,ndesario,kimario,tilla,manale,mafole,kituo,mrosso,lyakundia,mbando,matemba,ndanshau,morio,towo,akaro,kilawe,matowo,temba,foya, nk. Hutoka kibosho....

Imeandaliwa na sirGeorge Boaz sway ndeyanka

Kwa msaada wa 
Mtandao
Maktaba
Simulizi 

www.mwalimugeorge.com

2 comments:

061058168