LUGHA YA WACHAGA
Kutokana na jiografia ya msawazo wa WACHAGA lugha ya kichaga inabadilika kuanzia unapotoka TARAKEA mpaka unapofika SIHA
KUTOKANA na msawazo huo wa kijiografia kichaga kimegawanyika katika KIROMBO ambacho nacho hutofautiana kadiri unapotoka eneo moja kwenda lingine mfano kisseri,kirombo,kioldmoshi,kiru,kingassa,kimahida,kimkuu,kimashati,kivunjo,kimarangu,kimarangu,kibosho,kisiha cha kushangaza lugha hizi zinakaribia kufanana kulingana na makabila yanavyoanza kupakana kwa mfano kivunjo kinafanana na kioldmoshi, kimachame kinafanana na kisiha pia kinafanana na kikibosho.....
Kulingana na shughuli za kutafuta riziki Baadhi ya wamachame walihamia sehemu za meru ,Arusha na kuchanganyikana na waarusha hivyo LUGHA yako ilibadilika kidogo kuwa kimeru sababu hiyo wameru wanasikilizana Sana na wamachame ingawa lafudhi zao zinatofauyiana kidogo
Imeandaliwa na sirGeorge Boaz sway ndeyanka
Kwa usaidizi wa
Mtandao
Maktaba
No comments:
Post a Comment
061058168