WANAWAKE
- mtoto wa kwanza wa kike anaitwa mammi/mae ya mmi (kimachame) ikimaanisha mama yake mume(mzawa wa kike mtaja mama wa mume)
- mtoto wa pili wa kike anaitwa (manka) mae ya nkaa ikimaanisha mama yake mke (mzawa mtaja mama mkwe)
WANAUME
- mtoto wa kwanza wa kiume huitwa (ndammi) ndee ya mmi maana yake ni baba wa mume (mzawa wa kiume mtaja baba wa mume
- mtoto wa pili huitwa (ndeyanka) ndeye ya nka maana yake ni baba wa mke (mzawa wa kiume mtaja baba wa mke(wakwe)
- mtoto wa tatu wa kiume huitwa nkuu maana yake ni mzawa mtaja babu wa upande wa mme
NB: NKUU.... haina tofauti na KYEKU; Yaani hutaja pande zote mbili yaweza kuwa upande wa mke au mme mfano wa tatu ataitwa NKUU ila ni mtaja babu wa mume alikitoka. Mzawa wa nne huitwa pia NKUU huyu hutaja babu upande wa mke alipotoka.kwa usaidizi wa rika tangulizi contact 0621058168 sirGeorge boaz facebook
No comments:
Post a Comment
061058168