Saturday, July 6, 2019

KOO MAARUFU ZA WACHAGA

KOO MAARUFU ZA WACHAGA


Majina ya ukoo ni  moja kati ya utambulisho wa sehemu wanapotoka katika mikoa mingine au kabila.
KOO MAARUFU kulingana na familia zao apo mwanzo Ni Swai,mushi,mmasy,Kimaro,massawe,lema,urassa,nkya,ndossi,meena..hawa hutoka machame.
Akina Temu,mlaki,mlay,lyimo,kileo,kimambo,tesha,macha,ndanu,njau,kombe,mbisi,kyara,assey kessy,msele,kamindo,moshiro wanatoka oldmoshi  majina wengine ya oldmoshi Ni kama mmari,macha,mshiu,kyara,mboro,mmasamu,malisa,massame,Ringo,ngowi,lyatuu,mshiu,olomi.  


Kavishe,mariki,tarimo,laswai,mallya,Neema,mkenda,massawe,makyao,silayo,lyatuu,mowo,tairo,male to,mramba,kauki.wanatokea Rombo

Sawe,usiri,shayo,kiwelu,makundi,urasa,mtei,mtui,meela,minja, wanatokea marangu kilema. 


Rite,makule,minja,mashayo,chao,shao,makawia,ndesario,kimario,tilla,manale,mafole,kituo,mrosso,lyakundia,mbando,matemba,ndanshau,morio,towo,akaro,kilawe,matowo,temba,foya, nk. Hutoka kibosho....

Imeandaliwa na sirGeorge Boaz sway ndeyanka

Kwa msaada wa 
Mtandao
Maktaba
Simulizi 

www.mwalimugeorge.com

LUGHA YA WACHAGA

LUGHA YA WACHAGA


Kutokana na jiografia ya msawazo wa WACHAGA lugha ya kichaga  inabadilika kuanzia unapotoka TARAKEA mpaka unapofika SIHA

KUTOKANA na msawazo huo wa kijiografia kichaga kimegawanyika katika KIROMBO ambacho nacho hutofautiana kadiri unapotoka eneo moja kwenda  lingine mfano kisseri,kirombo,kioldmoshi,kiru,kingassa,kimahida,kimkuu,kimashati,kivunjo,kimarangu,kimarangu,kibosho,kisiha  cha kushangaza lugha hizi zinakaribia kufanana kulingana na makabila yanavyoanza kupakana kwa mfano kivunjo kinafanana na kioldmoshi, kimachame kinafanana na kisiha pia kinafanana na kikibosho.....

Kulingana na shughuli za kutafuta riziki Baadhi ya wamachame walihamia sehemu za meru ,Arusha na kuchanganyikana na waarusha hivyo LUGHA yako ilibadilika kidogo kuwa kimeru sababu hiyo wameru wanasikilizana Sana na wamachame ingawa lafudhi zao zinatofauyiana kidogo 


Imeandaliwa na sirGeorge Boaz sway ndeyanka
Kwa usaidizi wa
Mtandao
Maktaba 

HISTORIA YA KABILA LA WACHAGA

HISTORIA YA KABILA LA WACHAGA,


WACHAGA,  Ni moja ya makabila yanapatikana katika nchi/Taifa la TANZANIA, Ni kabila la watu wenye  asili ya KIBANTU Lakini pia Ni mchanyiko wa DAMU hasa ya (KIKUSHI) wanaoishi kaskazini mwa TANZANIA chini ya mlima KILIMANJARO...

WACHAGA.... Ni kabila la tatu apa  nchini kuwa na idadi ya watu wengi  kwa Takwimu za mwaka 2003 kwa kuwa na idadi ya watu 2,000,000/= 

    NENO UCHAGA lina  historia ndefu sana, inaelezwa kwamba misafara ya wafanya biashara iliyokuwa ikiongozwa na waarabu walipokuwa wakipita maeneo ya VUNJO Waliwaona wenyeji wakiwa wamejenga VIBANDA vya kulinda mazao yao  yasiharibiwe na wanyama wakawa wanawaita wenyeji hawa kwamba wanaishi VICHAKANI wageni wafanyabiashara na wamisionari walipokuwa wanakuja KILIMANJARO walielekezwa na waongoza misafara kwamba wanaenda nchi ya UCHAKANI wakimaanisha kwamba kwa watu wanaoishi vichakani hatimae wageni wakashindwa kulitamka neno hill vizuri na kulitamka UCHAGANI nalo likabaki kuwa jina la sehemu hii malo hutumika adi sasa.

SHUGHULI kubwa ya WACHAGA Ni BIASHARA,KILIMO NA KAZI ZA OFISINI.
  
WACHAGA... Ni mkusanyiko wa makabila madogo madogo yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima KILIMANJARO mashariki hadi magharibi 

JIOGRAFIA ya mashariki Rombo,Tarakea  unawapata watu wa Mwika,kilema,Marangu,Mamba na Kirua ambayo inajulikana na watu wengi kamaVunjo......

Jiografia ya magharibi wanaoishi wamachame unapata watu wa Oldmoshi,wa-kibosho,wa-uru,wa-Siha na wa-machame 

Imeandaliwa na sirGeorge Boaz sway ndeyanka

Msaada wa .........
Mtandao
Maktaba
Masimulizi ya kale onlinetechersway.blogspot.com