Sunday, February 9, 2020

MWAAKA WA KIMASHAMI NA VYEGHI


JANUARY--kusaanu
FEB--irondoma
MARC--ifungare
APRL--kunjanja
MAY--kukeende
JUNE--iyana
JULLY--kunsi
AGOST--kuvili
OCTB--nkinyambuo
SEPT--nsaa
NOV--muuru
DEC--Nsangwe

SIKU KATIKA WIKI(manya mikonu)
J.TATU.... NKONU WA LIMWI
J.NNE....NKONU WA KAVI
J.TANO...NKONU WA KARARU
ALHAMISI.. NKONU WA KAANA
IJUMAA... NKONU WA KARANU
J.MOSI......KYIMAMOSI
J.PILI.......NKONU WA IRUVA
NB: NKONU=siku


MANYA YEKENA ATA KINYWA:(1-10)
1.KIMWI 2.VIVI 3.VIGHARU 4.VIINA 5.VIGHANU 6.VIRINDAGHU 7. MFUNGARI 8. NYANYA 9.KYENDA 10. NYIKUMI
NB:kwekunde iyamba au yekena 20 kushamba le makumi avi 40makumi anaa 90makumi kyenda.

VYERI VYA NKONU
ASUBUHI...ngama
MCHANA...nsanyii
JIONI.....nkwanyi
USIKU...nkyoo



shavendya wana wama..

Saturday, February 8, 2020

USIPITWE HII VALENTINE text nzuri kingereza



You're the ONE
Valentine’s is the perfect opportunity for us to
enjoy and love each other. today you’re my
special Valentine. Happy Valentine’s Day,
Husband!”

I couldn’t imagine life without you; the sun
would never rise without you by my side. I’m
glad that I get to spend every Valentine’s Day
with you.

You smile, and the sun comes out. This is
why I come to you in my moments of joy and
sorrow. You are one amazing person, and I
am so lucky to be your Valentine forever.

What if there were no decisions to be made,
but only moments to be lived? I would still
live my moments with you.

Everything you do captivates me. Everything
about you amazes me. Everything you are is a
blessing.

Love is one word and everything in between.
Love is a fairytale come true. Because I found
Love when I found You. Happy Valentine’s
Day to My LovE
I will never become weary of adoring you. I
appreciate the manner in which you make me
go gaga for you all the more every day.
Upbeat Valentine’s Day!

I am an effective man since I adore an
unbelievable lady who dependably has
confidence in me. You draw out my best, and
your adoration finishes me. Cheerful
Valentine’s Day!

Together we will welcome the coming year
and hope that it brings us many more happy
moments

To the best husband on a special day that we
set aside to celebrate each other’s love:
Happy Valentine’s Day. I love you every day
and love spending this day to celebrate each
other. You’re my Valentine for the rest of our
days!”

Sometimes we forget to say just how much we
love each other, but Valentine’s Day is a
subtle reminder of how much you mean to
me.

If you love somebody there is no need to
hide. Do not hesitate to tell him how much
you love him and all the feelings you have for
him. So here I am to let you know that “I love
you” and I do not want to let you go.

Every time you hold my hand. I find another
reason to fall in love with you…Love you
always. Happy Valentine’s Day!

The reassuring smile on your lips, the soft
touch of your hands, and the little ways in
which you make me happy is what keeps me
alive every day.

Friendship is the most beautiful word ever
invented. One may even lose love at some
point of time in life, but a true friend will be by
your side forever. Happy Valentines day.

My beautiful husband, I love the way you lead
our family. Your confidence and wisdom are
something I can believe in always. The kids
and I hope your Valentine’s Day is as amazing
as you are.

Valentine’s Day is not just a day in the middle
of February; it is the time that we spend
together each and every day. I love you, my
Valentine.

I couldn’t imagine life without you; the sun
would never rise without you by my side. I’m
glad that I get to spend every Valentine’s Day
with you.

With you by my side and your love
surrounding my heart, I can achieve anything.
You give me power and strength to overcome
anything. I love you with all my heart and my
soul.

It never fails. You smile, and the sun comes
out.
This is why I come to you in my moments of
joy and sorrow.
You are one amazing person, and I am so
lucky to be your Valentine forever.
Happy Valentine's Day air that I breathe... You're the
word that I read...
You're the light that I see and,,,
Your love is all that I need...
Be with me forever.....!!!
I Never Knew What Love Was Before You.
I Was In The Dark And You Were The
Light That Shined Its Way Into My Life My
Sweet. My Love. I Want You To Know.
Happy Valentine’s Day.

Ever Since I First Laid Eyes On You.
It Was As If My Whole World Was Turned
Upside Down. Finally Today I Have The
Courage To Say.
Will You Be My Valentine Today?

Roses Are Red, Violets Are Blue.
You Are My Dream That Came True.
Honestly, You Are The Only One I Will Ever
See.
We Were Truly Blessed By The One Above.
We Are Lovers And Will Always Be.
Happy Valentine’s Day To You My Love.




Thursday, February 6, 2020

VYAKULA VYA KICHAGA 10 NA UPIKAJI WAKE.


KARIBU.. natanguliza shukrani zangu za dhati kwa MUNGU kwa kunijalia afya na uzima.pili ni kwako mdau wa blogger yangu ya kuhifadhi mila na kuendeza utamaduni wa kichanga MUNGU AWABARIKI..

CHAKULA.. ni moja ya viashiria vya kabila(element of culture) yaani utambulisho wa kabila mfano: WASUKUMA hupenda ugali WAPARE samaki WACHAGA ni ndizi.. hivi ndo vyakula vikuu kwa kabila hizi.

LEO NAPENDA KUKULETEA VYAKULA VYA KICHAGA NA UPIKAJI WAKE.



1.NGARARUMU
mahitaji. mahindi makavu,maharage,chungu maji magadi kuni mwiko (chumvi ukipenda)
HATUA ZA UPISHI.
washa moto injika chungu jikoni kikiwa na maji weka mahindi(yaliyochambuliwa) weka magadi chochea moto hadi yaive EPUA. osha mahindi hayo mara mbili kwa maji safi injika chungu tena jikoni kikiwa na maji na maharage kisha weka mahindi (uliyoyapika
na kuosha)juu ya maharage weka magadi/chumvi CHOCHEA TENA HADI YAIVE kikiiva epua weka kwenye ngata(kitako cha chungu) kisha chukua mwiko songa UKIMALIZA Ni tayari kwa kula 
NB:huwa kizuri ukila kwa chai au maziwa.
magadi; Hulowanishwa kwanza kwenye maji.


2.MALAA
mahitaji... ndizi laini/ng'ombe au mtori maziwa mgando chungu upekecho 
HATUA ZA UPISHI
washa moto injika chungu chenye maji weka ndizi uliyochagua mfano ndizi mtori(ziwe zimemenywa zimekatwa vipande vidogo kiasi)CHOCHEA  kikiiva EPUA chungu PEKECHA NDIZI HIZO weka maziwa pekecha
UKIMALIZA NI TAYARI KWA KULA
NB:chakula hichi hakiwekwi magadi


3.NYANYI
mahitaji....Ndizi ng'ombe/mtori mnavu/kimashigha/sosoko majani ya kunde maziwa mgando maji chungu upekecho nk
HATUA ZA UPISHI HUU
Washa moto injika chungu chenye maji  weka ndizi (zimemenywa na kukakwa vipande vidogo vidogo) CHOCHEA ZICHEMKE tia mboga mfano mnavu(zioshwe na kukatwa) ACHA ZIIVE PIA. zikiiva epua PEKECHA weka maziwa pekecha pia.. UKIMALIZA NI TAYARI KWA KULA.


4.MISHARE YA MMBALA.
Mahitaji.. Ndizi mshare magadi chumvi maji chungu.
HATUA ZA UPISHI HUU.. Washa moto injika chungu jikoni chenye maji na magadi (chumvi sio lazima ila weka  kama unapenda) weka ndizi zilizomenywa(usizikate/usizipasue)CHOCHEA HADI ZIIVE. zikiiva epua jikoni PAKUA NI TAYARI KWA KULA

5.KIMANTINI.
mahitaji. ndizi mshare maji chungu upekecho magadi chumvi
HATUA ZA UPISHI HUU
Washa moto injika chungu jikoni weka  ndizi (ziwe zimeoshwa walau mara mbili kwa maji safi ZIKATWE VIPANDE VIDOGO VIDOGO) weka maji na magadi CHOCHEA  kikiiva unapekecha  UKIMALIZA NI TAYARI KWA KULA 
NB: NI KAMA KIBURU SEMA HAKINA MAHARAGE TU.
6. KIBURU.
 Mahitaji na upishi wake hautofautiani sana na upishi hapo juu.
HATUA ZA UPISHI HUU.
Washa moto injika chungu chenye maji weka maharage kisha ndizi (zikatwe vipande vidogo vidogo zioshe walau mara mbili kwa maji safi na salama) CHOCHEA weka magadi (chumvi kama unapenda) CHOCHEA TENA KIKIIVA EPUA. pekecha ukimaliza ni tayari kwa kula.


7.MTORI.
hichi ndo chakula kimachopendwa sana na wachaga wengi.
mahitaji... Ndizi mtori/ng'ombe chumvi karoti hoho sowe viazi mbatata kitunguu mafuta upekecho maji chungu
 MAPISHI YAKE.. kutokana na chakula hichi kupendwa kimekuwa na upishi tofauti tofauti
HATUA ZA UPISHI
washa moto injika chungu chenye maji weka nyama(iliyooshwa na kukatwa vipande vidogo vidogo) chemsha weka chumvi ikiiva punguza supu  kidogo weka ndizi sowe viazi mviringo (hoho karoti kitunguu na mafuta kama wapenda) chochea kikiiva SONGA/PEKECHA weka supu kukifamya kuwa laini UKIMALIZA epua ni tayari kwa kula 
NB:wachagga hupendelea kula sana chakula hichi jioni/usik u

contract 0621058168 whattsapp

Wednesday, February 5, 2020

MAJINA YA KIMACHAME YANAYOONESHA UTAMBULISHO WA MZALIWA


WANAWAKE
  1. mtoto wa kwanza wa kike anaitwa mammi/mae ya mmi (kimachame) ikimaanisha mama yake mume(mzawa wa kike mtaja mama wa mume)
  2. mtoto wa pili wa kike anaitwa (manka) mae ya nkaa ikimaanisha mama yake mke (mzawa mtaja mama mkwe)
mtoto wa kike wa tatu anaitwa (kyeku/kyekwe) ikimaanisha mtaja bibi wa mume (mzawa wa kike mtaja bibi upande wa mme)  NB: KYEKU jina hili huenda pande zote mbili yaani mzawa wa kike mtaja bibi wa upande wa mume au mke mfano MZAWA WA NNE WA KIKE HUITWA kyeku PIA  ila hutaja bibi upande wa wakwe yaani  bibi mzaa mke    
WANAUME    
  1. mtoto wa kwanza wa kiume huitwa (ndammi) ndee ya mmi maana yake ni baba wa mume (mzawa wa kiume mtaja baba wa mume
  2. mtoto wa pili huitwa (ndeyanka) ndeye ya nka maana yake ni baba wa mke (mzawa wa kiume mtaja baba wa mke(wakwe)
  3. mtoto wa tatu wa kiume huitwa nkuu maana yake ni mzawa mtaja babu wa upande wa mme
       NB: NKUU.... haina tofauti na KYEKU; Yaani hutaja pande zote mbili yaweza kuwa upande wa mke au mme mfano wa tatu ataitwa NKUU ila ni mtaja babu wa mume alikitoka. Mzawa wa nne huitwa pia  NKUU huyu hutaja babu upande wa mke alipotoka.