Habari mdau wangu wa tovuti yangu, Natumaini upo poa leo nakuletea maneno ya kichaga cha marangu na maana yake.
Shimboni Habari yako?
Shimboni mae/mbe Habari yako? mama/baba?
Nashicha=Nzuri
Aika=Ahsante
*mae/mbe yanaweza kuwekwa mbele ya neno lolote la salamu m.f.) "Aika mae" "Aika mbe" Aika monoko=Ahsante mtoto
lakucha=Usiku mwema
Chamecha Pole (hasa kwa safari)
"Aika mbe" kama baba akipika chakula labda)
Nokyelaonacho? N ukelaho u?=Unaitwa nani?
Ngikyelao?=Naitwa
Ramia=Kaa
Tikira=Sogea
N gicho njaa mae , N jiicho Njaa mae=Nina njaa mama
N gacho gicho kie , njiicho njichokie =Nimechoka
Gayura mae - Nimeshiba mama
Ngicho nbeyo,njiicho mbeo=Nina baridi
Ngicho mrike,njiicho mrike =Ninasikia joto
(Ruwa ina maana ya Mungu kwao katika kichaga
ila hapa "maruwa" halihusiani na Ruwa)
memba-- Ndizi
Maimba -- mahindi
mbuya -- rafiki
Ikawilyiaâ Kupalilia
Ilyingoi Jogoo
inyiâ Mimi
Ipalipali Bahari
Ipore =Yai
Irikosoâ =Taji
Isewaâ =Kibuyu
Itukuoâ=Kushangaa
Iwuwuâ =Kuona makengeza
Iyesho=Majaribu
Kiamba=Shamba
Kyasakaâ =Ugenini Mswahili
Kyiaatyiâ =nafasi
kichuminy=barabarani/njia ya kwenda nyumbani
Kyo_kyimaryuâ =Ndiyo sababu
Kyuwereâ=Kumebakia nafasi ndugu
Lakuchaâ=Usiku mwema
Linyalaâ=Kuzarau
Maakulembecheryeâ=Unafiki
Maporeâ=Makande
Mapuchiâ=Mawingu
Masaangaâ=Mataifa
Matu matuâ=Tafadhali
Mbuya=Rafiki
Mchola=Kichochoro
Mkuuchuâ=Kiburi
Mkuuma=Upepo
Mlenyaâ=Mchanga
mmesaâ=Adui
Mtiimaâ=Giza nono
Mmmbaryiâ=Jua
Momrasaâ=Jirani
Momu=hori la ngâombe
Msasarikoâ=Masazo
Msotsa=Kushuka
Na-Ngosera=Na zaidi
Ndekyeâ=Ndege
Nduwa Dimbwi
Ngambura=kipande cha nyama
Njoonyiâ=Ngozi
Nyi Kryirumiâ=Ni Utukufu
ote=hapana
O tana=Pole na kazi.
O kora mae=Ahsante mama kwa kunipikia chakula
Okora mae lipo ila huwezi kusema "Okora mbe"
O roka, H oroka=Simama
Paraparaâ=barabara
Pfinyaâ=Nguvu
Rumbuâ=Mdomo
Seraâ=Mgomba mchanga
Taâ=Ngâ ombe jike
Tikira=sogea
ukou=Jana
Ulakusoâ=Tafadhali
Ulowoâ=Habari
Ungaâ=msoo
Unyamariâ=Dhambi
Ushangunyâ=Usoni
Walutsaâ=Geuza
Wandaâ=chini
Shukrani Kwa bibi yangu kipenzi MAMSENGA kwa ushirikiano wake kwangu.
Natumaini umefurahi sana kwa kufahamu baadhi ya maneno ya kichaga cha marangu na maana yake. Kwa maoni ushauri nitafute kwa:
MAWASILIANO
Tell+255 621 058168=Whattsapp
sirgeorgeboazndeyanka09@gmail.com
Google: Mwalimu george boaz
facebook: sirGeorge Boaz
HAI
KILIMANJARO
No comments:
Post a Comment
061058168